iqna

IQNA

IQNA-Sayyid Abdul-Malik Badr al-Din al-Houthi, Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameeleza kuwa, jamii za Kiarabu na Umma wa Kiislamu zinabeba dhima ya msingi kuhusu mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza akisisitiza matokeo mabaya ya kutochukua kwao hatua.
Habari ID: 3480658    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/09

Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameeleza kuwa, utawala wa Kizayuni unakodolea macho ya tamaa maeneo yote yanayopakana na ardhi za Palestina inayokaliwa kwa mabavu yakiwemo ya Syria na Misri na kusema kuwa, Netanyahu anatumia vibaya matukio ya Syria ili kutimiza njama hizo za muda mrefu za Kizayuni.
Habari ID: 3479899    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen sanjari na kutoa pongezi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema Sayyid Hassan Nasrullah alitibua njama za Israel na kuusababishia utawala huo dhalimu vipigo vya fedheha.
Habari ID: 3479530    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

Muqawama
IQNA- Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, katika kipindi cha miaka yote hii, wakuu wa Kambi ya Muqawama wamethibitisha kwamba, jinai zinazofanywa na maadui haziwatetereshi hata kidogo, bali zinaongeza tu ari na moyo wao wa Jihadi na Muqawama.
Habari ID: 3479211    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Al Houthi
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen Abdul-Malik al-Houthi anasema kulengwa kwa meli zinazohusishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kutaendelea katika Bahari ya Sham hadi Wapalestina walioko Gaza watakapoweza kupokea misaada.
Habari ID: 3478254    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiisalmu (muqawama) ya Ansarullah ya Yemen amezitaka nchi za Kiarabu na Ulimwengu wa Kiislamu kuwa na misimamo ya wazi katika kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
Habari ID: 3477890    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/14

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, lobi ya Wazayuni na waungaji mkono wake duniani kote wanataka kuyatenganisha mataifa ya Kiislamu na Qur'ani Tukufu na vilevile Mtume Muhammad (SAW) ili kuendeleza ajenda zao wenyewe.
Habari ID: 3477610    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/17

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ya Yemen alitoa wito kwa maafisa wa nchi za Magharibi kuacha kuivunjia heshima Qur'ani, Mtume Mtukufu (SAW) na matukufu mengine ya Kiislamu katika nchi hizo.
Habari ID: 3475902    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09

Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameashiria mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu na kusema mapatano kama hayo yatatoa mwanya kwa utawala wa Tel Aviv kujipenyeza zaidi Asia Magharibi.
Habari ID: 3475269    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/20

TEHRAN (IQNA)- Harakati za muqawama wa Palestina za Hamas na Jihad al Islami zimeushukuru Umoja wa Afrika (AU) kwa kuutimua utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye umoja huo na kusema kuwa, hatua hiyo ni pigo kwa zile nchi zinazotangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo katili.
Habari ID: 3474902    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani na utawala haramu wa Israel ni maadui nambari moja wa Waislamu duniani.
Habari ID: 3474884    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/03

TEHRAN (IQNA)- Mamilioni ya watu wa Yemen wamejitokeza katika Maulidi ya Mtume Muhammad SAW y katika miji mbalimbali ya Yemen ukiwemo mji mkuu Sanaʽa.
Habari ID: 3474440    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.
Habari ID: 3473121    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, kujiweka mbali Waislamu na Uwalii wa Umma ndio sababu kuu ya matatizo uliyonayo Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3473048    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09